0 Comment
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Wakazi wa Kata ya Lukobe, Manispaa ya Morogoro, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuboresha barabara ya Kilombero-Mazimbu Fam ili kukabiliana na changamoto za mafuriko yanayotokea wakati wa mvua za masika. Wakazi hao wamesema kuwa hali ya barabara hiyo inapozidiwa na maji, mawasiliano hukatishwa kwa masaa kadhaa, hali inayosababisha maafa na kurudisha... Read More