0 Comment
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa matumizi, huku safari za ndege kubwa zikitarajiwa kuanza rasmi tarehe 22 Februari 2025. Hayo yamebainishwa leo, Februari 7, 2025, wakati wa ziara... Read More