0 Comment
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuwa kinara katika masuala mbalimbali yanayolenga kuleta amani na usalama katika Ukanda wa Maziwa Makuu. Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu Bw. Johan Borgstam leo tarehe 17 Januari 2025, jijini Dodoma, ambapo yupo katika ziara ya kikazi. Akiwa jijini... Read More