0 Comment
Na Seif Mangwangi, Arusha KAMPENI ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid), imevunja rekodi baada ya kufanikiwa kuhudumia zaidi ya wananchi 1800 katika mikoa 22 nchini ambayo imeshatembelewa. Akizungumza leo Machi 7, 2025 Mkurugenzi wa kampeni ya Samia Legal Aid, Ester msambazi amesema katika maonyesho yanayoendelea jijini Arusha kuelekea siku ya mwanamke... Read More