0 Comment
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo alipokuwa akiwasili mahakamani. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akiongelea kukamatwa kwa John Heche Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau... Read More










