0 Comment
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa mchezo wao wa mkondo wa pili wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya Silver Strikers FC ya Malawi utakuwa bila kiingilio kwa majukwaa yote, isipokuwa VIP A na VIP B ambazo zimehifadhiwa kwa wageni waalikwa. Tangazo hilo limetolewa leo Oktoba 21, 2025 na... Read More











