0 Comment
VIJANA 7, wa Ifakara mkoani Morogoro wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 28 likiwemo la kuongeza genge la uhalifu na utakatisha wa fedha zaidi ya kiasi cha Sh milioni 1.9 walizojipatia kwa njia za udanganyifu. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Yonas Mwombeki (21) Godfrey Kunemba (29 ), Ramadhani Libandika (22),... Read More