0 Comment
KATIKA maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Machi 08, 2025 Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetoa wito kwa jamii, vyama vya siasa, na vyombo vya habari kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa wa haki kwa wagombea wa jinsia zote, hasa wanawake. TAMWA imeeleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu unaashiria... Read More