0 Comment
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amechangia kiasi Cha shilingi Mil.10 kwa wajasiriamali wadogowadogo 600 waliopatiwa mafunzo maalum yanayoratibiwa na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Tanga Mhe.Husna Sekiboko. Akizungumza mara baada ya kuchangia Mil.10 Mhe.Aweso amesema kuwa hawezi kuwasahau waliomtoa. “Dada Husna umenikumbusha 2015 Wakati nimemamliza masomo yangu ya chuo na kusema Marekani yangu ni... Read More