0 Comment
Kufuatia kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe Madeni ya Kodi, Kamishna Mkuu wa TRA Bw.Yusuph Juma Mwenda amesema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta Madeni ya Kodi. Kwa mujibu wa... Read More