0 Comment
Andre Onana, mlinda mlango wa Manchester United, anakabiliwa na shinikizo kubwa baada ya makosa kadhaa ambayo yaliathiri vibaya maisha yake akiwa na timu hiyo, na inaonekana klabu hiyo imeanza kutafuta mbadala wa kuimarisha nafasi ya golikipa. Licha ya sifa nzuri aliyokuwa nayo Onana wakati akiwa na Inter Milan, uchezaji wake Old Trafford ulizua mijadala mingi... Read More