0 Comment
Augusta Njoji na Job Karongo, Handeni TC ZIKIWA zimesalia siku tisa Watanzania kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Handeni Mjini, Amina Waziri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura. Akizungumza kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo jimboni hapo, Amina amesema maandalizi... Read More










