0 Comment
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kama njia mojawapo ya kuimarisha ustawi na kufikia maendeleo jumuishi na endelevu. Mheshimiwa Majaliwa amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha jamii ya Watanzania inaishi kwa umoja na mshikamano kati ya wanaume na wanawake na kuwa wote... Read More