0 Comment
Ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu viwango vya kimataifa vya kazi na Ajira Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasili Jijini Geneva Uswisi kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) . Katika Mkutano huo, Mhe. Ridhiwani ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu Viwango... Read More