0 Comment
Na BALTAZAR MASHAKA,MOROGORO WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RBF) wamekutana mkoani Morogoro,kujadili na kupitisha bajeti ya bodi ya mfuko huo kwa mwaka wa fedha 2025/26. Mwenyekiti wa Baraza hilo na Mtendaji Mkuu wa RBF,Mhandisi Rashid Kalimbaga,akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo,amesema kuwa bajeti hiyo imezingatia majukumu makubwa ya... Read More