0 Comment
Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, leo tarehe 4 Machi 2025 ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua kupitia paa la jengo katika Shule ya Sekondari Malimbika, wilayani Gairo, mkoa wa Morogoro. Hafla hiyo... Read More