0 Comment
Na Khadija Kalili, Michuzi TV KIWANDA Cha Doweicare kilichopo eneo la Lulanzi Picha yandege Wilayani Kibaha wametoa mchango wa fedha ikiwa katika kuchangia ujenzi wa kalavati. Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bob Chaing amesema kuwa wamekabidhi kiasi cha Sh.500,000 kwa Uongozi wa Serikali ya Mtaa ya Lulanzi huku akisisitiza na kusema kuwa wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli... Read More