0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amemkabidhi Pikipiki mpya kijana Kusan Alex Dereva BodaBoda aliyesababisha ajali kwenye gari la Mkuu wa Mkoa October 31 2024, eneo la Chakechake Mkuyuni Jijini Mwanza. Mtanda amebainisha kuwa kwa mujibu wa sheria za usalama Barabarani alikuwa na makosa lakini kama Kiongozi aliamua kumsaidia kwa kulipa gharama za matibabu... Read More