0 Comment
Kuelekea sikukuu za Chrismas na Mwaka mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema ulinzi na usalama umeimarishwa ili kuhakikisha wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo wanakuwa salama katika kipindi chote cha sikukuu na baada ya sikukuu, pia amewataka wazazi na walezi kusimamia vema usalama wa watoto kwa kutowapeleka kwenye maeneo... Read More