0 Comment
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na taifa kwa ujumla limepata sifa kubwa kwa miaka ya hivi karibuni kwenye suala la utafiti ukiwemo wa kumtumia panya namna ya kutafuta na kubaini vilipuzi na mabomu yalitotengwa ardhini. Miongoni mwa panya hao ni Magawa aliyesifika kusaidia kugunduliwa kwa zaidi ya mabomu 108 ya kutegwa ardhini nchini... Read More