0 Comment
Na Ofisi ya Mkuu Wa Mkoa Wa Dodoma Ukosefu wa Amani mahali popote unatajwa kujenga chuki, kuondoa mapatano, kupoteza haki kwa baadhi ya watu na kuchelewesha maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa mazoezi ya kuhamasisha Amani wakati zikisalia siku chache... Read More











