0 Comment
Shirika lisilokuwa la kiserikali la Nyasa Environment Restoration Iniative (NERI) LA Jijini Dare es salam limekabidhi Zana za uvuvi,Mizinga ya nyuki 20 kwa Kikundi cha Uvuvi cha Dagaa safi katika kijiji Cha Liweta Kata ya Mbaha na pikipiki 1 kwa ajili ya Afisa Uvuvi , Wilaya ya Nyasa. Mkurugenzi wa Shirika la NERI Bw. Daniel... Read More