0 Comment
Tunduru – Ruvuma. Wakulima wa zao la ufuta katika Wilaya ya Tunduru wameonyesha kuridhishwa na mchakato wa mauzo kupitia mfumo wa mnada wa wazi, ambapo kilo 604,613 za ufuta, sawa na tani 604.6, zimeuzwa kwa bei ya wastani ya shilingi 2,492 kwa kilo. Mnada huo wa nne umefanyika leo katika kata ya Nakayaya, kijiji cha... Read More