0 Comment
Wakati Dunia ikielekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, wafanyakazi wanawake wa Kampuni ya ALAF wametoa vifaa mbalimbali muhimu kwa wodi ya mama na mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya zoezi la utoaji wa vifaa hospitalini hapo, Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya ALAF, Bi... Read More