0 Comment
Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)umekamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Upenja katika Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kazkazini Unguja, Visiwani Zanzibar. Kituo hicho kimezinduliwa rasmi leo jumapili Tarehe 22.12.2024 na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali katika... Read More