0 Comment
Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi (CCM) taifa (MNEC) Richard Kasesela akisisitiza mambo mazuri aliyoyafanya Rais Dkt samia Suluhu Hassan kwenye kila jimbo na kata hapa nchini Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Daud Yassin akikabidhi MNEC Salim Abri Asas tuzo ya mchango wake mkubwa ndani ya chama cha Mapinduzi... Read More