0 Comment
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Exaud Kigahe (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Bidhaa na Mazingira Dkt. Shimo Peter (kulia) akieleza kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali katika Maonesho ya Viwanda na Biashara za Wanawake na Vijana Wajasiriamali Tanzania yanayofanyika katika viwanja vya Mlimani... Read More