0 Comment
Sierra Leone imetangaza hali ya dharura ya afya ya umma baada ya visa viwili vya ugonjwa huo kuripotiwa. Waziri wa afya wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi alitangaza hatua hiyo siku ya Jumatatu baada ya kisa cha pili cha ugonjwa hatari wa virusi kuthibitishwa. “Kuthibitishwa kwa visa viwili vya ugonjwa wa mpox nchini kumechochea hatua... Read More