0 Comment
Kesi ya kumuondoa madarakani Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol inafunguliwa tena Jumanne, Januari 14, mbele ya Mahakama ya Katiba ambapo mahakama inaombwa iamue iwapo itamtimua kabisa kwa jaribio lake lililofeli la kujaribu kuweka sheria ya kijeshi iliyoitumbukiza nchi hii katika mzozo mkubwa wa kisiasa. Kikao cha kwanza cha kesi hii, kilidumu kwa dakika chache... Read More