0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amekemea tabia za wanasiasa na viongozi wanotumia lugha za kebehi, udini, jinsia na ukabila, kubeza wagombea kwasababu zinaligawa Taifa na badala yake wajenge hoja zenye mashiko. Aidha, alitolea mfano wa kauli alizotolewa dhodi ya Rais Samia Sukuhu Hassan na... Read More