0 Comment
Na Khadija Kalili , Michuzi TV MAKAMU MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, amesema vyama ya ukombozi Kusini Mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya kuanzishwa kwake. Amesema kuwa vyama hivyo vilipigania uhuru kuzikomboa jamii za waafrika ambazo ndani yake ina vizazi vilivyopo na vitakavyokuja.... Read More