0 Comment
Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi katika ziara yake ya kijiji kwa kijiji kuwa Mkoa huo unaendelea kupokea fedha kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu katika kutekeleza mradi mkubwa wa maji unaogharimu Shilingi Bilioni 440 kutoka Serikali kuu. Utakapokamilika... Read More