0 Comment
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Norway zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano katika Mkutano wa tatu (3) wa Mashauriano ya Kisiasa uliofanyika Januari 9, 2025, jijini Dar es Salaam kama hatua ya kutathmini na kuuendeleza uhusiano wa uwili baina ya nchi hizo mbili. Kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano... Read More