0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu ametoa hamasa kwa Wafanyabiashara Mkoani hapo kuendelea kulipa kodi stahiki ili maendeleo ya nchi yazidi kupatikana. Kauli hiyo ameitoa tarehe 23 Juni, 2025 wakati wa kuanza kwa Kampeni ya utoaji elimu ya kodi ya mlango kwa mlango mkoani hapo yenye lengo la kuhakikisha kwamba wafanyabiashara wanaelimishwa kuhusu... Read More