Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto . Read More
Na Mwandishi Wetu,Ruvuma WAKULIMA wa zao la kahawa wanaohudumiwa na Chama cha Msingi cha Ushirika KImuli Amcos kata ya Utiri Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma, wamefanikiwa kuzalisha tani 105,986.95 za kahawa zilizowaingizia zaidi ya Sh.bilioni 14,022,174,698.40 kuanzia Msimu wa kilimo 2021/2022 hadi 2024/2025. Katibu wa Chama hicho Aron Komba amesema,katika msimu 2021/2022 wakulima walizalisha tani... Read More
📌 Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Nishati, Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambania katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa na haki, usawa na uwezeshaji kwa wanawake matunda yake yanaonekana hivi sasa. Mbuja ameyasema hayo... Read More
Benki ya Stanbic yafikisha huduma zake za Private Banking kwa wateja wa Mbeya, Yawafikia watu wenye ukwasi mkubwa na wamiliki wa biashara kwa ushauri wa kipekee wa usimamizi wa mali, uwekezaji, na suluhisho za kifedha zilizo lenga mahitaji yao. · Upanuzi wa kimkakati jijini Mbeya unalenga mazingira yake imara ya biashara, ukiwapa wajasiriamali, wawekezaji, na... Read More
Benki ya NMB Kanda ya Ziwa imetoa vifaa tiba katika hospitali ya Kanda Chato pamoja na kuchangia vifaa katika sekta ya elimu kwa Shule nne za Chato Mkoani Geita na mbili za Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 37. Vifaa hivyo vimetolewa na kukabidhiwa na Meneja wa... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 first appeared on Millard Ayo. Â
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 3, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 3, 2025 first appeared on Millard Ayo. Â
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Nyuki Kata ya Lukobe wakati alipokitembelea kituo hicho cha ofisi ya Serikali za Mtaa kukagua zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lililoanza leo Machi mosi, 2025 mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa Tume... Read More
Wananchi wa kata ya Miono na Mandela, Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani wamebainisha kwamba, ukosefu wa elimu kuhusu sheria mbalimbali unachangia kwa kiasi kikubwa watu kukosa haki zao za msingi. Wakazi wa Mandela wakizungumza wakati wa ziara ya maofisa kutoka Msaada wa Kisheria ya Mama Samia halmashauri ya Chalinze pamoja na Wizara ya Sheria na... Read More
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini Arusha na Mkuza Mtaala wa TET ,Bi. Zena Amiri wakati akiongea na... Read More