Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia makubaliano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ili kubadilishana taarifa na kusomana mifumo ya kudhibiti mapato yatokanayo na wasanii, na pia kubaini wasanii wanaolipa na wasiokodi. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Desemba 24, 2024 Jijini Dar es Salaam katika hafla hiyo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amemkabidhi Pikipiki mpya kijana Kusan Alex Dereva BodaBoda aliyesababisha ajali kwenye gari la Mkuu wa Mkoa October 31 2024, eneo la Chakechake Mkuyuni Jijini Mwanza. Mtanda amebainisha kuwa kwa mujibu wa sheria za usalama Barabarani alikuwa na makosa lakini kama Kiongozi aliamua kumsaidia kwa kulipa gharama za matibabu... Read More
Mauaji ya zaidi ya watu wapatao 200 nchini Haiti mwezi huu yalifuatia msako ulioamriwa na genge ambao ulishuhudia wahasiriwa, wengi wao wakiwa wazee, wakitolewa nje ya nyumba zao na kupigwa risasi au kuuawa kwa mapanga, UN ilisema Jumatatu. Waathiriwa walishukiwa kuhusika na voodoo na kushutumiwa na kiongozi wa genge kwa kumtia mtoto wake sumu, huku... Read More
Ripoti za vyombo vya habari zilithibitisha kuwa kulikuwa na majeruhi wengi miongoni mwa timu ya Saudi Al-Ittihad, kabla ya kukabiliana na Al-Hilal katika robo fainali ya Kombe la Mfalme. Al-Ittihad itacheza mechi dhidi ya Al-Hilal Januari 7 ijayo katika robo fainali ya Kombe la Mfalme saa saba na nusu jioni saa za Cairo na saa... Read More
Kuna mashaka juu ya kuendelea kwa nyota wa Argentina Alejandro Garanacho katika safu ya Manchester United, kutokana na uhusiano wake na kocha Ruben Amorim. Mtandao wa “caughtoffside” wa Uingereza uliripoti kuwa moja ya klabu The European club – ambayo jina lake halijawekwa wazi – inataka kusaini mkataba na Jarnacho. Chanzo hicho kiliongeza kuwa klabu hii... Read More
Mamia ya waandamanaji waliingia barabarani katika maeneo ya Wakristo huko Damascus mapema Jumanne kupinga kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na Hama katikati mwa Syria, waandishi wa habari walisema. Maandamano hayo yalizuka baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha wapiganaji waliojifunika kofia wakichoma moto mti wa Krismasi katika mji wenye Wakristo wengi wa... Read More
Mtangazaji wa clouds Fm na clouds Tv Sedou Mandingo maarufu kwa jina la Babuu wa kitaa kupitia taasisi yake ya Babuu cancer foundation siku ya leo ametambulisha kampeini yake mpya ambayo inajulikana kama Saratani kitaa huku ikiwa na kauli mbiu ya “kitaa ni muhimu kufaham mafanikio sekta ya afya” ambayo itaanzia jijini mwanza huku ikiwa... Read More
Kutokana na vitendo vya ukatilia vinavyoendelea kukithiri nchini Jumuiya ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Taifa (SMAUJATA) imewataka Watanzania kuwa na moyo wa ustahimilivu wanapokutwa na changamoto mbalimbali badala ya kuchukua maamuzi yanayoweza kuigharimu jamii katika maisha. Wito huo umetolewa na mkurugenzi wa uenezi,vijana na michezo wa Jumuiya hiyo Ndugu Johnson Mgimba hii... Read More
Na Mwandishi Wetu Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kujisomea vitabu kwa ajili ya kujiongezea maarifa mbalimbali ikiwemo mbinu za kujiendeleza kiuchumi. Akiongea wakati wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho ‘I Am Positioned’ kilichoandikwa na mwandishi Leah Karunde, ambaye pia ni mshauri wa masuala ya kodi, Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta... Read More