0 Comment
Wananchi wa kata ya Miono na Mandela, Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani wamebainisha kwamba, ukosefu wa elimu kuhusu sheria mbalimbali unachangia kwa kiasi kikubwa watu kukosa haki zao za msingi. Wakazi wa Mandela wakizungumza wakati wa ziara ya maofisa kutoka Msaada wa Kisheria ya Mama Samia halmashauri ya Chalinze pamoja na Wizara ya Sheria na... Read More