0 Comment
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky Jumatano, Desemba 25, alishutumu shambulio la “kinyama” kutoka kwa Urusi, ambalo lilirusha makombora zaidi ya 170 kwenye gridi ya umeme ya nchi yake iliyoharibiwa na vita siku ya Krismasi, na kumuua mfanyakazi wa nishati. Nchi hiyo iliamka saa 5:30 asubuhi kwa kengele ya uvamizi wa anga, muda mfupi ikifuatiwa na... Read More