0 Comment
Na Vero Ignatus,Arusha SERIKALI imeweza kuandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima. Hayo yamesemwa Leo June 23 2025 Jijini Arusha na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi,Mhandisi Anthony Sanga... Read More