0 Comment
NA WILLIUM PAUL, SAME. MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Same mkoani Kilimanjaro zimesababisha kukatika kwa daraja ya Kizangaze na kukata mawasiliano ya kati ya kata ya Maore, Ndungu, Kihurio, Bendera na kata ya Miamba kwa takribani saa 72 sasa. Mbali na kukatika kwa mawasaliano hao, pia zimesababisha vifo vya watu sita wakiwemo wawili wa familia moja... Read More