0 Comment
Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe,Zakaria Mwansasu amesikitishwa na vitendo vya wanafunzi kudondoka mara kwa mara wakiwa shuleni huku vipimo vikishindwa kuonyesha ugonjwa unaowakabili na kupelekea jambo hilo kuhusishwa na imani kutokana na kukatwa kwa msitu uliokuwa ukitumika kwenye tambiko. Akizungumza na wenyeviti wa vijiji pamoja na mitaa wakati wa semina elekezi kwa wenyeviti... Read More