0 Comment
WAKAZI wanne wa Jijjni Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu uchumi yenye mashitaka sita ikiwemo kukwepa kodi ya ushuru wa forodha na kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh Milioni 125. 5 Mashtaka mengine ni kukwepa kodi kwa njia ya udanganyifu, kuchepusha mizigo kutoka... Read More