Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV VURUGU kubwa ambazo zilitokea katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam wakati Timu ya Simba ikicheza na Timu ya SC Sfaxien ya Tunisia zimesababisha kung’olewa kwa viti 256. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa na Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam Jumanne Muliro... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 16, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 16, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na wafanyakazi wa benki hiyo, yakiwa ni mashindano yenye mbwembwe na ushindani wa hali ya juu. Timu mbalimbali kutoka kanda tofauti za Tanzania zilishiriki katika fainali hizo... Read More
KATIBU wa NEC, Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, ametoa wito kwa wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuendeleza umoja na mshikamano. Amesema umoja waliouonyesha wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wanapaswa kuuonyesha katika kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Gavu alitoa kauli hiyo leo mkoani Tanga wakati akizungumza na wajumbe... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi, ametoa wito kwa Watanzania kujenga utamaduni wa kujisomea vitabu ili kuibua fursa za kimaendeleo na kuacha tabia ya kutumia vitabu kama sehemu salama ya kuhifadhia fedha. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa vitabu viwili vilivyoandikwa na wataalamu... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Meja Edward Gowele akizungumza na Mawakala wa Forodha wa Sirari mpaka wa Tanzania na Kenya katika Mkutano ulioandaliwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Mtakwimu Mwandamizi wa TASAC ,Athuman Athuman akizungumza kuhusiana na matakwa ya Sheria ya Uwakala wa Forodha kwa mawakala wa Forodha Sirari mpaka wa Tanzania... Read More
– Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni– Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana– Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kujenga misingi ya kusaidiana kuheshimiana na kuvumiliana ili... Read More