0 Comment
Na Mwandishi Wetu Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania usawa katika masuala ya kazi kwa watu wote bila kujali hali zao ikiwemo kuhimiza uwepo wa kazi zenye staha na kupinga ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana,... Read More