0 Comment
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kuendeleza ushirikiano na kuimarisha ushawishi kwa wadau wa kitaifa na kimataifa katika kusukuma agenda ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini. Mhandisi Luhemeja amesema hayo Desemba 17, 2024 wakati wa mkutano wake na watumishi wa ofisi hiyo uliolenga kutathimini mafanikio... Read More