0 Comment
Na Mwandishi wetu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb,) amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu, katika Mahafali ya 39 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania yaliyofanyika katika Viwanja vya chuo hicho, Duluti Arusha Mahafali hayo ambayo Waziri wa Ulinzi na JKT alikuwa mgeni... Read More