0 Comment
KATIBU wa NEC, Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, ametoa wito kwa wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuendeleza umoja na mshikamano. Amesema umoja waliouonyesha wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wanapaswa kuuonyesha katika kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Gavu alitoa kauli hiyo leo mkoani Tanga wakati akizungumza na wajumbe... Read More