0 Comment
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali zote mbili zinatambua mchango mkubwa unaotokana na wanataaluma ya Ukutubi ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa maendeleo kwa Taasisi za Serikali na Taasisi binafsi hapa nchini. Ameyasema hayo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Mwinyi... Read More