0 Comment
*Wafurahia meli kutumia siku tatu bandarini, gharama zapungua,wenye mizigo nao wapewa neno Na Said Mwishehe,Michuzi TV MABORESHO ambayo yamefanywa katika Bandari ya Dar es Salaam hasa katika upande wa kupakia na kupakua makontena ya mzigo katika meli umesababisha kupungua kwa siku za wafanyabiashara kupokea kontena baada ya meli kutia nanga kutoka siku 10 hadi kufikia... Read More