0 Comment
Na Mwandishi wetu- Dar es salaam Wateja sita wa Akiba Commercial Bank Plc kutoka matawi mbalimbali wametunukiwa zawadi za fedha taslimu pamoja na zawadi nyingine, baada ya kuibuka washindi wa kampeni ya Twende Kidijitali – Tukuvushe Januari. Akizungumza Februari 2025 wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo, Afisa Biashara Mkuu wa Akiba Commercial Bank,... Read More